Boresha Nyumba Yako na Brand Kubwa Duniani

Zinazopendwa Sana

Bidhaa Zinazopendwa Sana

Vifaa vinavyopendwa zaidi na wateja wetu

Kwanini Sisi

Kwanini Ununue Jaden Home Store?

Tunakupa bidhaa halisi, hakuna usumbufu

Bidhaa Halisi 100%

Hakuna bidhaa duni — tunauza brand halisi pekee zinazodumu.

Bei ya Haki

Bajeti yako inaheshimiwa hapa. Tunakupa bei zinazoendana na hali halisi ya Mtanzania.

Delivery kwa Makubaliano

Tuambie unapotaka kupokea, na tutakupa bei halisi kabla hujathibitisha oda.

Mtu Anayekujibu

Ukiuliza, unajibiwa na mtu — si mashine. Tuambie unachotafuta, tutakutafutia au tutakuambia ukweli kama hatuna.

Fundi Jaden

Fundi Jaden — AI Mshauri Wako

Sema na Fundi Jaden

Mshauri wetu wa AI yuko hapa saa 24 — uliza bei, upatikanaji, au delivery ya bidhaa yoyote. Jibu haraka, bila kusubiri.

Endelea kwa WhatsApp

Inajibu sekunde chache · Inapatikana saa 24/7